Sunday, November 30, 2014

Mwisho ni Mwanzo

Kufafanua na lugha
Ki-swahili
Maneno mengi ya kusema
M-swahili
Kupatana na mapya
acha uswahili!

Lugha Kujikumbusha
Hakuna umakini
Tena kurudia
Kutoelewa asili
Masikio na macho
Weka Makini!
Kukita mizizi...
Ta-maduni

Miezi nyingi kutoandika
Lugha ya utotoni
Tena kuanza
Na ma-zoezi
Mwisho ni mwanzo
Gurudumu k`znguka!
Juu... chini
Mifumbo na ushairi