Wednesday, August 4, 2010

Maneno Yafuatana

Maneno yanafuatana
Maana haija pangana
Ninaandika lakini ninajisimamisha
Nini kusudi ya maneno bila maana?


I'm writing but there is no pen in my hand
Trying to find meaning
On a scratch pad in my mind
I'm writing
But not understanding what's coming out

Ninaandika lakini sijaridhika
Ninajiuliza kama nimefika
Lakini inaonekana kwamba hata sijaanza
Kalamu karatasi lugha na maana


I have been writing
But I have not written much
Little scratches of an invisible pen
Writing numbers not words in my mind

Kujiita mwandishi ni mwito
Huwezi kuwa mwandishi bila kuandika
Huwezi kuwa mshairi bila kutunga
Siandiki-situngi-simwandishi-simshairi


I've been looking at the scratch-pad in my mind
Looking at what I've churned out over time
Its time I took this ship on a different course
A course I haven't charted yet

Kupanga maneno nitapanga mpaka
Maana idhihirike na kusudi ijulikane
Nitaendelea kuandika basi
Hata iwe pasi na dhamiri


James Adolwa
4th August 2010