Monday, May 10, 2010

Its May - Masiku Yapita

It's May

I cannot believe its May
January and February and March
All gone and faded away
Its May today..like it was yesterday
And tomorrow the month remains
I can't believe its May

09.05.10

J. Adolwa

___________________________

Different Roles / Masiku Yapita


Masiku yapita
Misimu yabadilika
Marafiki waonana
Kisha waachana
Different Roles
Different Goals

Maisha yopata
Jawa na furaha
sina ila baraka
kukusindikisha
Different Roles
Different Goals

As we live our lives
Travelling on life's paths
It is good to know
that there are different roads
......for different souls

J. Adolwa - 2005

__________________________

p.s

I'm not a musician
but the words had a tune
so I had to put a song together
as awful as it may be

Ukweli-different roles by ushairimamboleo

...and here is another that I'd like to get out of the way...the first thing I ever tried to record. Did this around 2003 whispering into a microphone...a lot of distortion and buzzing but again I didn't say I was a musician...

Perfect People by ushairimamboleo


01-01-2012
And here is another one I dug up...done between 2003 and early 2006 will have to confirm this

Ukweli wa mambo by ushairimamboleo


Link to yahoo player__________________________

5 comments:

 1. No one is allowed to sing off-key in these days of autotune but so far I've not found an easy to use free autotune application and I think I recorded that many years ago. So any ideas where I can get a free and easy to use autotune application?

  ReplyDelete
 2. nanukuu "Masiku yapita
  Misimu yabadilika
  Marafiki waonana
  Kisha waachana
  Different Roles
  Different Goals"mwisho wa kunukuu.

  Nimependa sana ni mziki mtulivu unaweza kusikiliza huku ukifanya hata hesabu bila kukosea. Na James ulipotea kweli karibu tena kakangu. Upendo daima

  ReplyDelete
 3. Ulipotea sana. Nimefurahi sana kukuona tena

  ReplyDelete
 4. james nimerudi tena je ni wewe unaimba maana sauti nzuri kweli:-)

  ReplyDelete
 5. Asanteni Fadhy na Yasinta. Nimefurahi kuwa hamjanisahau.

  @ Yasinta...ni mimi hapo...kutoka utunzi, uimbaji, uchezaji wa ala za muziki (ingawa kwa kompyuta) kurekodi yote nimefanya mwenyewe...lakini ilikuwa miaka kadhaa iliyopita...hayo mambo yote ni kama nimesahau. Nimefurahi kuwa umependa wimbo huo.

  Ninaona kuwa muziki ni chombo kizuri cha kueneza ushairi kwani maranyingi muziki lazima itungwe Kishairi. Muziki pia ni mojawapo ya mbinu za ushairi

  ReplyDelete