Friday, October 23, 2009

Just A Band

Hii ni video ambayo imenipendeza sana. imetungwa na "Just A Band" wanaotunga muziki yao kishairi kweli. Wametoa CD nyingine mpya inayoitwa "82" Sikupata nafasi ya kuenda kwa launch ya hiyo CD lakini kulingana na yale nimesikia.. it is worth getting hold of. Unaweza kuwapata hapa http://www.just-a-band.com. Pia unaweza soma makala/simulizi nilioandika kwa blogu nyingine kuwahusu walipoimba hapo Goethe Institut hapa Nairobi miezi kadhaa iliyopita. Fungua hapa http://www.pazasauti.com/2009/02/usi-ni-bore.html

1 comment:

  1. Ngoja nami niicheki.
    Ahsante sana kwa info hii. I love things with poetry.

    ReplyDelete