Sunday, June 7, 2009

MASWALI

Naona huwezi kosa jiuliza maswali
Kwani maswali yatoka kwa matokeo maishani
Nimejaribu kunyamazisha masauti mawazoni
Lakini yanaendelea kupaza sauti akilini
Jana tu simu yangu ya rununu kaibiwa
Mwezi uliopita akaunti na majambazi kafagiliwa
Maswala madogo ukizingatia yale mazito wengine wamepitia
Lakini lazima nijiulize ni kwanini!
Kwanini mambo haya yafuatane hivi?
Serina, Fadhy maswali nitawaachia

James Adolwa 07/06/2009

2 comments:

  1. Yaliyopita si ndwele, ganga yajayo.

    ReplyDelete
  2. You cannot walk forward looking backwards. Kweli. And its even more difficult if you were running. You'll trip and fall...many times. Remember...walking and running also happens in the mind...Serina ...I agree

    ReplyDelete