Thursday, June 4, 2009

CHANZO

Hutapata majibu maishani
Usipouliza maswali
Hutaweza kuelewa matokeo
Usipochunguza chanzo

Who am I?
What am I doing here?
Where am I going?
Will this road get me there?

A few basic questions
Maswali yote mnayo
Not many have the answers
Maisha ni kujibu hayo

04/06/2009 James Adolwa

6 comments:

 1. Majibu mengine ni useless,
  Inahelp pale majibu unapoyamiss,
  Coz all they do is messing up,
  So you the citizen giving up.

  You are the person who you are,
  And doing what you do here,
  Usijali to find you are going there,
  Kwani ukienda bado watu hawatocare.

  ReplyDelete
 2. Nakuelewa Fadhy
  Ukisema kujiuliza maswali mengi
  ni kuwaste time in the process ya kuishi
  Sometimes life gives the wrong answers
  Hata uki ask the right questions
  So why waste time ukijaribu to look for the right questions
  When life is known to give the wrong answers
  Ishi maisha yako - Hiyo ndio Jibu - Bila Maswali

  ReplyDelete
 3. Nimepita kukualimia nimekukuta kwa kaka Fadhy mtanga. Karibu kibarazani kwangu nawe. kazi nzuri!!

  ReplyDelete
 4. You know what brother James?
  Hawa tuliowapa madaraka wanatudisappoint us,
  Wanafanza ufisadi with their families,
  Na watoto wao nd'o CEOs of their companies.

  That's why unajikuta with so many questions,
  Moyo wakushinikiza you have to find the solutions,
  Bora kujiuliza kuhusu your own life,
  Maana kiukweli hii life ipo too tough.

  Thanx kaka James, ni hayo tu!

  ReplyDelete
 5. Maswali hujitokezea wapi?
  Maswali hutupeleka wapi?
  Maswali mwisho wapi?
  twafanya nini duniani?

  ReplyDelete
 6. Maswali mengi kawa mashairi
  Creativity is a product of inquiry
  Out of puzzling questions
  Come brilliant conclusions
  And when there are no answers
  The by product is still inspiring
  Beautiful Poetry
  From simple life questions
  Asante, Fadhy na Serina

  ReplyDelete