Tuesday, May 26, 2009

FIKIRA

Kumekauka!!!
Fikira zimepotea
Nimefikiria
Nimejaribu
Nothing
Hakuna
Blurred thought
groping in the dark
Giza

James D. Adolwa 26/05/2009

2 comments:

 1. jaribu tena
  utafanikiwa
  nina imani
  usikate tamaa

  ReplyDelete
 2. Asante...Nimefanikiwa
  Fikira mengi
  Nimekosa Wakuyaandika

  ReplyDelete